Zaburi 5:7-8
Zaburi 5:7-8 Biblia Habari Njema (BHN)
Lakini, kwa wingi wa fadhili zako, mimi nitaingia nyumbani mwako; nitakuabudu kuelekea hekalu lako takatifu, nitakusujudia kwa uchaji. Uniongoze, ee Mwenyezi-Mungu, katika uadilifu wako, maana maadui zangu ni wengi; uiweke njia yako wazi mbele yangu.
Shirikisha
Soma Zaburi 5Zaburi 5:7-8 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Bali mimi, kwa wingi wa fadhili zako, Nitaingia nyumbani mwako; Na kusujudu kwa kicho, Nikilielekea hekalu lako takatifu. BWANA, uniongoze kwa haki yako, Kwa sababu yao wanaoniotea. Uinyoshe njia yako mbele ya uso wangu
Shirikisha
Soma Zaburi 5Zaburi 5:7-8 Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia (SUV)
Bali mimi, kwa wingi wa fadhili zako, Nitaingia nyumbani mwako; Na kusujudu kwa kicho, Nikilielekea hekalu lako takatifu. BWANA, uniongoze kwa haki yako, Kwa sababu yao wanaoniotea. Uisawazishe njia yako mbele ya uso wangu
Shirikisha
Soma Zaburi 5