Zaburi 5:4-6
Zaburi 5:4-6 Biblia Habari Njema (BHN)
Wewe si Mungu apendaye ubaya; kwako uovu hauwezi kuwako. Wenye majivuno hawastahimili mbele yako; wewe wawachukia wote watendao maovu. Wawaangamiza wote wasemao uongo; wawachukia wauaji na wadanganyifu.
Shirikisha
Soma Zaburi 5Zaburi 5:4-6 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Maana huwi Mungu apendezwaye na ubaya; Mtu mwovu hatakaa kwako; Wajivunao hawatasimama mbele za macho yako; Unawachukia wote watendao uovu. Utawaharibu wasemao uongo; BWANA humchukia mwuaji na mwenye hila
Shirikisha
Soma Zaburi 5