Zaburi 5:4-5
Zaburi 5:4-5 Biblia Habari Njema (BHN)
Wewe si Mungu apendaye ubaya; kwako uovu hauwezi kuwako. Wenye majivuno hawastahimili mbele yako; wewe wawachukia wote watendao maovu.
Shirikisha
Soma Zaburi 5Zaburi 5:4-5 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Maana huwi Mungu apendezwaye na ubaya; Mtu mwovu hatakaa kwako; Wajivunao hawatasimama mbele za macho yako; Unawachukia wote watendao uovu.
Shirikisha
Soma Zaburi 5