Zaburi 5:2-3
Zaburi 5:2-3 Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia (SUV)
Uisikie sauti ya kilio changu, Ee Mfalme wangu na Mungu wangu, Kwa maana Wewe ndiwe nikuombaye. BWANA, asubuhi utaisikia sauti yangu, Asubuhi nitakupangia dua yangu na kutazamia.
Shirikisha
Soma Zaburi 5Zaburi 5:2-3 Biblia Habari Njema (BHN)
Usikilize kilio changu, Mfalme wangu na Mungu wangu, maana wewe ndiwe nikuombaye. Ee Mwenyezi-Mungu, alfajiri waisikia sauti yangu, asubuhi nakutolea tambiko yangu, kisha nangojea unijibu.
Shirikisha
Soma Zaburi 5Zaburi 5:2-3 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Uisikie sauti ya kilio changu, Ee Mfalme wangu na Mungu wangu, Kwa maana Wewe ndiwe nikuombaye. BWANA, asubuhi utaisikia sauti yangu, Asubuhi nitakupangia dua yangu na kutazamia.
Shirikisha
Soma Zaburi 5