Zaburi 48:13-14
Zaburi 48:13-14 Biblia Habari Njema (BHN)
Zitazameni kuta zake na kuchunguza ngome zake; mpate kuvisimulia vizazi vijavyo, kwamba: “Huyu ni Mungu, Mungu wetu milele! Atakuwa kiongozi wetu milele!”
Shirikisha
Soma Zaburi 48Zaburi 48:13-14 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Tieni moyoni boma zake, Yafikirini majumba yake, Mpate kuwaambia kizazi kitakachokuja. Kwa maana ndivyo alivyo MUNGU, Mungu wetu. Milele na milele Yeye ndiye atakayetuongoza.
Shirikisha
Soma Zaburi 48