Zaburi 46:4-5
Zaburi 46:4-5 Neno: Bibilia Takatifu 2025 (NENO)
Kuna mto ambao vijito vyake vinaufurahisha mji wa Mungu, mahali patakatifu ambako Aliye Juu Sana anaishi. Mungu yuko katikati yake, hautaanguka, Mungu atausaidia asubuhi na mapema.
Shirikisha
Soma Zaburi 46Zaburi 46:4-5 Biblia Habari Njema (BHN)
Kuna mto ambao maji yake hufurahisha mji wa Mungu, makao matakatifu ya Mungu Mkuu. Mungu yumo mjini humo, nao hauwezi kutikiswa; Mungu ataupa msaada alfajiri na mapema.
Shirikisha
Soma Zaburi 46Zaburi 46:4-5 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Kuna mto, vijito vyake vyaufurahisha mji wa Mungu, Patakatifu pa maskani zake Aliye Juu. Mungu yu katikati ya mji hautatetemeshwa; Mungu atausaidia asubuhi na mapema.
Shirikisha
Soma Zaburi 46