Zaburi 46:2-3
Zaburi 46:2-3 Biblia Habari Njema (BHN)
Kwa hiyo hatutaogopa chochote, dunia ijapoyeyuka na milima kutikisika kutoka baharini; hata kama bahari ikichafuka na kutisha, na milima ikatetemeka kwa machafuko yake.
Shirikisha
Soma Zaburi 46Zaburi 46:2-3 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Kwa hiyo hatutaogopa ijapobadilika nchi, Ijapotetemeka milima moyoni mwa bahari. Maji yake yajapovuma na kuumuka, Ijapopepesuka milima kwa kiburi chake.
Shirikisha
Soma Zaburi 46Zaburi 46:2-3 Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia (SUV)
Kwa hiyo hatutaogopa ijapobadilika nchi, Ijapotetemeka milima moyoni mwa bahari. Maji yake yajapovuma na kuumuka, Ijapopepesuka milima kwa kiburi chake.
Shirikisha
Soma Zaburi 46