Zaburi 46:1-2
Zaburi 46:1-2 Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia (SUV)
Mungu kwetu sisi ni kimbilio na nguvu, Msaada utakaoonekana tele wakati wa mateso. Kwa hiyo hatutaogopa ijapobadilika nchi, Ijapotetemeka milima moyoni mwa bahari.
Shirikisha
Soma Zaburi 46Zaburi 46:1-2 Biblia Habari Njema (BHN)
Mungu ni kimbilio letu na nguvu yetu; yeye ni msaada wetu daima wakati wa taabu. Kwa hiyo hatutaogopa chochote, dunia ijapoyeyuka na milima kutikisika kutoka baharini
Shirikisha
Soma Zaburi 46Zaburi 46:1-2 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Mungu kwetu sisi ni kimbilio na nguvu, Msaada utakaoonekana tele wakati wa mateso. Kwa hiyo hatutaogopa ijapobadilika nchi, Ijapotetemeka milima moyoni mwa bahari.
Shirikisha
Soma Zaburi 46Zaburi 46:1-2 Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia (SUV)

Soma Zaburi 46