Zaburi 44:8
Zaburi 44:8 Neno: Bibilia Takatifu 2025 (NENO)
Katika Mungu wetu tunajivuna mchana kutwa, nasi tutalisifu jina lako milele.
Shirikisha
Soma Zaburi 44Zaburi 44:8 Biblia Habari Njema (BHN)
Daima tutaona fahari juu yako, ee Mungu; tutakutolea shukrani milele.
Shirikisha
Soma Zaburi 44Zaburi 44:8 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Tumejisifia Mungu mchana kutwa, Na jina lako tutalishukuru milele.
Shirikisha
Soma Zaburi 44