Zaburi 42:2
Zaburi 42:2 Biblia Habari Njema (BHN)
Naona kiu ya Mungu, kiu ya Mungu aliye hai. Nitafika lini kwake na kuuona uso wake?
Shirikisha
Soma Zaburi 42Zaburi 42:2 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Nafsi yangu inamwonea kiu MUNGU, Mungu aliye hai, Lini nitakapokuja nionekane mbele za Mungu?
Shirikisha
Soma Zaburi 42Zaburi 42:2 Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia (SUV)
Nafsi yangu inamwonea kiu MUNGU, Mungu aliye hai, Lini nitakapokuja nionekane mbele za Mungu?
Shirikisha
Soma Zaburi 42