Zaburi 40:7-8
Zaburi 40:7-8 Biblia Habari Njema (BHN)
Ndipo niliposema: “Niko tayari; ninayotakiwa kufanya yameandikwa katika kitabu cha sheria; kutimiza matakwa yako, ee Mungu wangu ni furaha yangu, sheria yako naishika kwa moyo wangu wote!”
Shirikisha
Soma Zaburi 40Zaburi 40:7-8 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Ndipo niliposema, Tazama nimekuja, (Katika gombo la kitabu nimeandikiwa,) Kuyafanya mapenzi yako, Ee Mungu wangu, ndiyo furaha yangu; Naam, sheria yako imo moyoni mwangu.
Shirikisha
Soma Zaburi 40