Zaburi 40:1
Zaburi 40:1 Biblia Habari Njema (BHN)
Nilimngojea Mwenyezi-Mungu kwa uvumilivu, akanielekea na kukisikia kilio changu.
Shirikisha
Soma Zaburi 40Zaburi 40:1 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Nilimngoja BWANA kwa subira, Akaniinamia na kusikia kilio changu.
Shirikisha
Soma Zaburi 40Zaburi 40:1 Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia (SUV)
Nalimngoja BWANA kwa saburi, Akaniinamia akakisikia kilio changu.
Shirikisha
Soma Zaburi 40