Zaburi 35:1-2
Zaburi 35:1-2 Biblia Habari Njema (BHN)
Ee Mwenyezi-Mungu, uwapinge hao wanaonipinga; uwashambulie hao wanaonishambulia. Utwae ngao yako na kingio lako, uinuke uje ukanisaidie!
Shirikisha
Soma Zaburi 35Zaburi 35:1-2 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Ee BWANA, uwapinge hao wanaonipinga, Upigane nao wanaopigana nami. Uishike ngao na kikingio, Uinuke unisaidie.
Shirikisha
Soma Zaburi 35