Zaburi 33:18 - Compare All Versions
Zaburi 33:18 BHN (Biblia Habari Njema)
Mwenyezi-Mungu huwaangalia wale wamchao, watu ambao wanatumainia fadhili zake.
Shirikisha
Zaburi 33 BHNZaburi 33:18 SRUV (Swahili Revised Union Version)
Tazama, jicho la BWANA li kwao wamchao, Wazingojeao fadhili zake.
Shirikisha
Zaburi 33 SRUVZaburi 33:18 SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Tazama, jicho la BWANA li kwao wamchao, Wazingojeao fadhili zake.
Shirikisha
Zaburi 33 SUVZaburi 33:18 NEN (Neno)
Lakini macho ya BWANA yako kwa wale wamchao, kwa wale tumaini lao liko katika upendo wake usio na kikomo
Shirikisha
Zaburi 33 NEN