Zaburi 32:2
Zaburi 32:2 Neno: Bibilia Takatifu 2025 (NENO)
Heri mtu yule ambaye BWANA hamhesabii dhambi, na ambaye rohoni mwake hamna udanganyifu.
Shirikisha
Soma Zaburi 32Zaburi 32:2 Biblia Habari Njema (BHN)
Heri mtu ambaye Mwenyezi-Mungu hamwekei hatia, mtu ambaye hana hila moyoni mwake.
Shirikisha
Soma Zaburi 32Zaburi 32:2 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Heri ambaye BWANA hamhesabii hatia, Na ambaye rohoni mwake hamna hila.
Shirikisha
Soma Zaburi 32