Zaburi 31:19
Zaburi 31:19 Neno: Bibilia Takatifu 2025 (NENO)
Tazama jinsi wema wako ulivyo mkuu, uliowawekea akiba wanaokucha, unaowapa wale wanaokukimbilia machoni pa watu wote.
Shirikisha
Soma Zaburi 31Zaburi 31:19 Biblia Habari Njema (BHN)
Jinsi gani ulivyo mwingi wema wako, uliowawekea wale wanaokucha! Wanaokimbilia usalama kwako wawapa mema binadamu wote wakiona.
Shirikisha
Soma Zaburi 31Zaburi 31:19 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Jinsi zilivyo nyingi fadhili zako Ulizowawekea wakuchao; Ulizowatendea wakukimbiliao Mbele ya wanadamu!
Shirikisha
Soma Zaburi 31