Zaburi 3:5-6
Zaburi 3:5-6 Biblia Habari Njema (BHN)
Nalala na kupata usingizi, naamka tena maana wewe ee Mwenyezi-Mungu wanitegemeza. Sitayaogopa maelfu ya watu, wanaonizingira kila upande.
Shirikisha
Soma Zaburi 3Zaburi 3:5-6 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Nilijilaza na kulala usingizi, kisha ninaamka tena, Kwa kuwa BWANA ananitegemeza. Sitayaogopa maelfu na maelfu ya watu, Waliojipanga Juu yangu pande zote.
Shirikisha
Soma Zaburi 3