Zaburi 3:4-5
Zaburi 3:4-5 Neno: Bibilia Takatifu 2025 (NENO)
Ninamlilia BWANA kwa sauti kuu, naye ananijibu kutoka mlima wake mtakatifu. Ninajilaza na kupata usingizi; naamka tena, kwa maana BWANA hunitegemeza.
Shirikisha
Soma Zaburi 3Zaburi 3:4-5 Biblia Habari Njema (BHN)
Nakulilia kwa sauti, ee Mungu, nawe wanisikiliza kutoka mlima wako mtakatifu. Nalala na kupata usingizi, naamka tena maana wewe ee Mwenyezi-Mungu wanitegemeza.
Shirikisha
Soma Zaburi 3Zaburi 3:4-5 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Kwa sauti yangu namwita BWANA Naye aniitikia toka mlima wake mtakatifu. Nilijilaza na kulala usingizi, kisha ninaamka tena, Kwa kuwa BWANA ananitegemeza.
Shirikisha
Soma Zaburi 3