Zaburi 3:1
Zaburi 3:1 Biblia Habari Njema (BHN)
Ee Mwenyezi-Mungu, tazama walivyo wengi adui zangu, ni wengi mno hao wanaonishambulia.
Shirikisha
Soma Zaburi 3Zaburi 3:1 Swahili Revised Union Version (SRUV)
BWANA, watesi wangu wamezidi kuwa wengi, Ni wengi wanaonishambulia
Shirikisha
Soma Zaburi 3