Zaburi 29:7-8
Zaburi 29:7-8 Biblia Habari Njema (BHN)
Sauti ya Mwenyezi-Mungu hutoa miali ya moto. Sauti ya Mwenyezi-Mungu hutetemesha jangwa, Mwenyezi-Mungu hutetemesha jangwa la Kadeshi.
Shirikisha
Soma Zaburi 29Zaburi 29:7-8 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Sauti ya BWANA inatoa miale paa ya moto; Sauti ya BWANA yalitetemesha jangwa; BWANA alitetemesha jangwa la Kadeshi.
Shirikisha
Soma Zaburi 29