Zaburi 29:1-2 - Compare All Versions
Zaburi 29:1-2 BHN (Biblia Habari Njema)
Mpeni Mwenyezi-Mungu heshima enyi viumbe vya mbinguni, semeni Mwenyezi-Mungu ni mtukufu na mwenye nguvu. Semeni jina la Mwenyezi-Mungu ni tukufu. Mwabuduni katika mahali pake patakatifu.
Shirikisha
Zaburi 29 BHNZaburi 29:1-2 SRUV (Swahili Revised Union Version)
Mpeni BWANA, enyi wana wa Mungu, Mpeni BWANA utukufu na nguvu; Mpeni BWANA utukufu wa jina lake; Mwabuduni BWANA kwa uzuri wa utakatifu.
Shirikisha
Zaburi 29 SRUVZaburi 29:1-2 SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Mpeni BWANA, enyi wana wa Mungu, Mpeni BWANA utukufu na nguvu; Mpeni BWANA utukufu wa jina lake; Mwabuduni BWANA kwa uzuri wa utakatifu.
Shirikisha
Zaburi 29 SUVZaburi 29:1-2 NEN (Neno)
Mpeni BWANA, enyi mashujaa, mpeni BWANA utukufu na nguvu. Mpeni BWANA utukufu unaostahili jina lake; mwabuduni BWANA katika uzuri wa utakatifu wake.
Shirikisha
Zaburi 29 NEN