Zaburi 27:7-8
Zaburi 27:7-8 Biblia Habari Njema (BHN)
Usikie, ee Mwenyezi-Mungu, ninapokulilia, unionee huruma na kunijibu. Moyo wangu waniambia: “Njoo umtafute Mungu!” Basi, naja kwako, ee Mwenyezi-Mungu.
Shirikisha
Soma Zaburi 27Zaburi 27:7-8 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Ee BWANA, usikie, kwa sauti yangu ninalia, Unifadhili, unijibu. Uliposema, “Nitafuteni uso wangu,” Moyo wangu umekuambia, BWANA, uso wako nitautafuta.
Shirikisha
Soma Zaburi 27