Zaburi 20:4-5
Zaburi 20:4-5 Biblia Habari Njema (BHN)
Akujalie unayotamani moyoni mwako, aifanikishe mipango yako yote. Tutashangilia kwa ajili ya ushindi wako; tutatweka bendera kulitukuza jina la Mungu wetu. Mwenyezi-Mungu akutimizie maombi yako yote!
Shirikisha
Soma Zaburi 20Zaburi 20:4-5 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Akujalie kwa kadiri ya haja ya moyo wako, Na kukutimizia mipango yako yote. Na tuushangilie wokovu wako, Kwa jina la Mungu wetu tuzitweke bendera zetu. BWANA akutimizie matakwa yako yote.
Shirikisha
Soma Zaburi 20