Zaburi 2:6-7
Zaburi 2:6-7 Biblia Habari Njema (BHN)
“Nimemtawaza mfalme niliyemteua, anatawala Siyoni, mlima wangu mtakatifu!” Mfalme asema: “Nitatangaza azimio la Mwenyezi-Mungu. Mungu aliniambia: ‘Wewe ni mwanangu, mimi leo nimekuwa baba yako.
Shirikisha
Soma Zaburi 2Zaburi 2:6-7 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Nami nimemweka mfalme wangu Juu ya Sayuni, mlima wangu mtakatifu. Nitaihubiri amri; BWANA aliniambia, Wewe ni mwanangu, Mimi leo nimekuzaa.
Shirikisha
Soma Zaburi 2