Zaburi 17:7
Zaburi 17:7 Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia (SUV)
Dhihirisha fadhili zako za ajabu Wewe uwaokoaye wanaokukimbilia; Kwa mkono wako wa kuume Uwaokoe nao wanaowaondokea.
Shirikisha
Soma Zaburi 17Zaburi 17:7 Biblia Habari Njema (BHN)
Onesha fadhili zako za ajabu, uwaokoe kutoka kwa adui zao, wale wanaokimbilia usalama kwako.
Shirikisha
Soma Zaburi 17Zaburi 17:7 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Dhihirisha fadhili zako za ajabu Wewe uwaokoaye wanaokukimbilia; Kwa mkono wako wa kulia Uwaokoe kutoka kwa adui zao.
Shirikisha
Soma Zaburi 17