Zaburi 17:6-7
Zaburi 17:6-7 Biblia Habari Njema (BHN)
Nakuita, ee Mungu, kwani wewe wanijibu; unitegee sikio, uyasikie maneno yangu. Onesha fadhili zako za ajabu, uwaokoe kutoka kwa adui zao, wale wanaokimbilia usalama kwako.
Shirikisha
Soma Zaburi 17Zaburi 17:6-7 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Ee Mungu, nimekuita kwa maana utaitika, Utege sikio lako ulisikie neno langu. Dhihirisha fadhili zako za ajabu Wewe uwaokoaye wanaokukimbilia; Kwa mkono wako wa kulia Uwaokoe kutoka kwa adui zao.
Shirikisha
Soma Zaburi 17