Zaburi 17:1-2
Zaburi 17:1-2 Neno: Bibilia Takatifu (NEN)
Sikia, Ee BWANA, kusihi kwangu kwa haki, sikiliza kilio changu. Tega sikio kwa ombi langu, halitoki kwenye midomo ya udanganyifu. Hukumu yangu na itoke kwako, macho yako na yaone yale yaliyo haki.
Shirikisha
Soma Zaburi 17Zaburi 17:1-2 Biblia Habari Njema (BHN)
Ee Mwenyezi-Mungu usikie kisa changu cha haki, usikilize kilio changu, uitegee sikio sala yangu isiyo na hila. Haki yangu na ije kutoka kwako, kwani wewe wajua jambo lililo la haki.
Shirikisha
Soma Zaburi 17