Zaburi 16:8-9
Zaburi 16:8-9 Biblia Habari Njema (BHN)
Namweka Mwenyezi-Mungu mbele yangu daima; yuko pamoja nami, wala sitatikisika. Kwa hiyo nitafurahi kwa moyo wote na kushangilia, nami nitakaa salama salimini.
Shirikisha
Soma Zaburi 16Zaburi 16:8-9 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Nimemweka BWANA mbele yangu daima, Kwa kuwa yuko kuliani mwangu, sitaondoshwa. Kwa hiyo moyo wangu unafurahi, Nayo nafsi yangu inashangilia, Naam, mwili wangu nao utakaa kwa kutumaini.
Shirikisha
Soma Zaburi 16Zaburi 16:8-9 Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia (SUV)
Nimemweka BWANA mbele yangu daima, Kwa kuwa yuko kuumeni kwangu, sitaondoshwa. Kwa hiyo moyo wangu unafurahi, Nao utukufu wangu unashangilia, Naam, mwili wangu nao utakaa kwa kutumaini.
Shirikisha
Soma Zaburi 16