Zaburi 16:7-8
Zaburi 16:7-8 Biblia Habari Njema (BHN)
Namsifu Mwenyezi-Mungu kwa kuniongoza, usiku dhamiri yangu yanionya. Namweka Mwenyezi-Mungu mbele yangu daima; yuko pamoja nami, wala sitatikisika.
Shirikisha
Soma Zaburi 16Zaburi 16:7-8 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Nitamhimidi BWANA aniongozaye, Wakati wa usiku pia moyo wangu hunishauri. Nimemweka BWANA mbele yangu daima, Kwa kuwa yuko kuliani mwangu, sitaondoshwa.
Shirikisha
Soma Zaburi 16Zaburi 16:7-8 Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia (SUV)
Nitamhimidi BWANA aliyenipa shauri, Naam, mtima wangu umenifundisha usiku. Nimemweka BWANA mbele yangu daima, Kwa kuwa yuko kuumeni kwangu, sitaondoshwa.
Shirikisha
Soma Zaburi 16