Zaburi 16:11
Zaburi 16:11 Biblia Habari Njema (BHN)
Wanionesha njia ya kufikia uhai; kuwako kwako kwanijaza furaha kamili, katika mkono wako wa nguvu mna mema ya milele.
Shirikisha
Soma Zaburi 16Zaburi 16:11 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Utanijulisha njia ya uzima; Mbele za uso wako kuna furaha tele; Na katika mkono wako wa kulia Mna mema ya milele.
Shirikisha
Soma Zaburi 16Zaburi 16:11 Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia (SUV)
Utanijulisha njia ya uzima; Mbele za uso wako ziko furaha tele; Na katika mkono wako wa kuume Mna mema ya milele.
Shirikisha
Soma Zaburi 16