Zaburi 16:1-2
Zaburi 16:1-2 Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia (SUV)
Mungu, unihifadhi mimi, Kwa maana nakukimbilia Wewe. Nimemwambia BWANA, Ndiwe BWANA wangu; Sina wema ila utokao kwako.
Shirikisha
Soma Zaburi 16Zaburi 16:1-2 Biblia Habari Njema (BHN)
Unilinde ee Mungu; maana kwako nakimbilia usalama. Namwambia Mungu: “Wewe u Bwana wangu; sina jema lolote ila wewe.”
Shirikisha
Soma Zaburi 16Zaburi 16:1-2 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Mungu, unihifadhi mimi, Kwa maana nakukimbilia Wewe. Nimemwambia BWANA, Ndiwe BWANA wangu; Sina wema ila utokao kwako.
Shirikisha
Soma Zaburi 16