Zaburi 15:4
Zaburi 15:4 Biblia Habari Njema (BHN)
ni mtu anayewadharau wafisadi, lakini huwaheshimu wamchao Mwenyezi-Mungu; ni mtu asiyegeuza kiapo chake hata kikimtia hasara
Shirikisha
Soma Zaburi 15Zaburi 15:4 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Anayedharau waovu Machoni pake, Bali huwaheshimu wamchao BWANA Aliyeapa ingawa kwa hasara yake, Hayabadili maneno yake.
Shirikisha
Soma Zaburi 15