Zaburi 15:2
Zaburi 15:2 Biblia Habari Njema (BHN)
Ni mtu aishiye bila lawama, atendaye daima yaliyo mema, asemaye ukweli kutoka moyoni
Shirikisha
Soma Zaburi 15Zaburi 15:2 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Ni mtu aendaye kwa ukamilifu, Na kutenda haki. Asemaye kweli kwa moyo wake
Shirikisha
Soma Zaburi 15