Zaburi 147:2-3
Zaburi 147:2-3 Biblia Habari Njema (BHN)
Mwenyezi-Mungu anajenga tena mji wa Yerusalemu; anawarudisha Waisraeli waliokuwa uhamishoni. Anawaponya waliovunjika moyo; na kuwatibu majeraha yao.
Shirikisha
Soma Zaburi 147Zaburi 147:2-3 Swahili Revised Union Version (SRUV)
BWANA ndiye aijengaye Yerusalemu, Huwakusanya waliotawanyika wa Israeli. Huwaponya waliopondeka moyo, Na kuyaganga majeraha yao.
Shirikisha
Soma Zaburi 147Zaburi 147:2-3 Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia (SUV)
BWANA ndiye aijengaye Yerusalemu, Huwakusanya waliotawanyika wa Israeli. Huwaponya waliopondeka moyo, Na kuziganga jeraha zao.
Shirikisha
Soma Zaburi 147