Zaburi 145:5-6
Zaburi 145:5-6 Biblia Habari Njema (BHN)
Nitanena juu ya utukufu na fahari yako, nitayatafakari matendo yako ya ajabu. Watu watatangaza ukuu wa matendo yako ya ajabu, nami nitatangaza ukuu wako.
Shirikisha
Soma Zaburi 145Zaburi 145:5-6 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Nitaifikiri fahari ya utukufu wa adhama yako, Na matendo yako yote ya ajabu. Watu watayataja matendo yako ya kutisha, Nami nitausimulia ukuu wako.
Shirikisha
Soma Zaburi 145