Zaburi 145:2-3
Zaburi 145:2-3 Biblia Habari Njema (BHN)
Nitakutukuza kila siku; nitalisifu jina lako daima na milele. Mwenyezi-Mungu ni mkuu, astahili sifa nyingi; ukuu wake hauwezi kuchunguzika.
Shirikisha
Soma Zaburi 145Zaburi 145:2-3 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Kila siku nitakuhimidi, Nitalisifu jina lako milele na milele. BWANA ndiye mkuu mwenye kusifiwa sana, Wala ukuu wake hauchunguziki.
Shirikisha
Soma Zaburi 145