Zaburi 145:17-19
Zaburi 145:17-19 Biblia Habari Njema (BHN)
Mwenyezi-Mungu ni mwadilifu katika njia zake zote; ni mwema katika matendo yake yote. Mwenyezi-Mungu yuko karibu na wote wanaomwomba, wote wanaomwomba kwa moyo mnyofu. Huwapatia mahitaji yao wote wanaomcha; husikia kilio chao na kuwaokoa.
Shirikisha
Soma Zaburi 145Zaburi 145:17-19 Swahili Revised Union Version (SRUV)
BWANA ni mwenye haki katika njia zake zote, Na mwenye huruma katika matendo yake yote. BWANA yuko karibu na wote wamwitao, Wote wamwitao kwa uaminifu. Hutimiza matakwa ya wote wamchao, Na pia husikia kilio chao, na huwaokoa.
Shirikisha
Soma Zaburi 145Zaburi 145:17-19 Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia (SUV)
BWANA ni mwenye haki katika njia zake zote, Na mwenye fadhili juu ya kazi zake zote. BWANA yu karibu na wote wamwitao, Wote wamwitao kwa uaminifu. Atawafanyia wamchao matakwa yao, Naye atakisikia kilio chao na kuwaokoa.
Shirikisha
Soma Zaburi 145