Zaburi 145:1-3
Zaburi 145:1-3 Biblia Habari Njema (BHN)
Nitakutukuza, ee Mungu wangu na mfalme wangu; nitalitukuza jina lako daima na milele. Nitakutukuza kila siku; nitalisifu jina lako daima na milele. Mwenyezi-Mungu ni mkuu, astahili sifa nyingi; ukuu wake hauwezi kuchunguzika.
Shirikisha
Soma Zaburi 145Zaburi 145:1-3 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Ee Mungu wangu, Mfalme, nitakutukuza, Nitalihimidi jina lako milele na milele. Kila siku nitakuhimidi, Nitalisifu jina lako milele na milele. BWANA ndiye mkuu mwenye kusifiwa sana, Wala ukuu wake hauchunguziki.
Shirikisha
Soma Zaburi 145Zaburi 145:1-3 Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia (SUV)
Ee Mungu wangu, Mfalme, nitakutukuza, Nitalihimidi jina lako milele na milele. Kila siku nitakuhimidi, Nitalisifu jina lako milele na milele. BWANA ndiye mkuu mwenye kusifiwa sana, Wala ukuu wake hautambulikani.
Shirikisha
Soma Zaburi 145