Zaburi 143:3
Zaburi 143:3 Biblia Habari Njema (BHN)
Maadui zangu wamenifuatia; wameniangusha chini kabisa wameniketisha gizani kama mtu aliyekufa zamani.
Shirikisha
Soma Zaburi 143Zaburi 143:3 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Maana adui ameifuatia nafsi yangu, Ameutupa chini uzima wangu. Amenikalisha mahali penye giza, Kama watu waliokufa zamani.
Shirikisha
Soma Zaburi 143