Zaburi 140:1-2
Zaburi 140:1-2 Neno: Bibilia Takatifu 2025 (NENO)
Ee BWANA, niokoe, kutoka kwa watu waovu; nilinde na watu wenye jeuri, ambao hupanga mipango mibaya mioyoni mwao, na kuchochea vita siku zote.
Shirikisha
Soma Zaburi 140Zaburi 140:1-2 Biblia Habari Njema (BHN)
Ee Mwenyezi-Mungu, uniokoe na watu wabaya, unikinge na watu wakatili. Watu hao huwaza mabaya daima, huzusha magomvi kila mara.
Shirikisha
Soma Zaburi 140Zaburi 140:1-2 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Ee BWANA, uniokoe kutoka kwa watu waovu. Unihifadhi kutoka kwa watu wajeuri. Waliowaza mabaya mioyoni mwao, Kila siku huchochea vita.
Shirikisha
Soma Zaburi 140