Zaburi 139:21-22
Zaburi 139:21-22 Biblia Habari Njema (BHN)
Ee Mwenyezi-Mungu, nawachukia wanaokuchukia; nawadharau sana wale wanaokuasi! Maadui zako ni maadui zangu; ninawachukia kabisakabisa.
Shirikisha
Soma Zaburi 139Zaburi 139:21-22 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Je! BWANA nisiwachukie wanaokuchukia? Nisiudhike nao watu wanaokuasi? Nawachukia kwa upepo wa chuki, Wamekuwa adui kwangu.
Shirikisha
Soma Zaburi 139