Zaburi 139:12
Zaburi 139:12 Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia (SUV)
Giza nalo halikufichi kitu, Bali usiku huangaza kama mchana; Giza na mwanga kwako ni sawasawa.
Shirikisha
Soma Zaburi 139Zaburi 139:12 Biblia Habari Njema (BHN)
kwako giza si giza hata kidogo, na usiku wangaa kama mchana; kwako giza na mwanga ni mamoja.
Shirikisha
Soma Zaburi 139Zaburi 139:12 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Giza nalo halikufichi kitu, Bali usiku huangaza kama mchana; Giza na mwanga kwako ni sawasawa.
Shirikisha
Soma Zaburi 139