Zaburi 136:10 - Compare All Versions
Zaburi 136:10 BHN (Biblia Habari Njema)
Ndiye aliyewaua wazaliwa wa kwanza wa Misri; kwa maana fadhili zake zadumu milele.
Shirikisha
Zaburi 136 BHNZaburi 136:10 SRUV (Swahili Revised Union Version)
Yeye aliyewapiga Wamisri kwa kuwaua wazaliwa wao wa kwanza; Kwa maana fadhili zake ni za milele.
Shirikisha
Zaburi 136 SRUVZaburi 136:10 SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Yeye aliyewapiga Wamisri kwa kuwaua wazaliwa wa kwanza wao; Kwa maana fadhili zake ni za milele.
Shirikisha
Zaburi 136 SUVZaburi 136:10 NEN (Neno)
Kwake yeye aliyemuua mzaliwa wa kwanza wa Misri, Fadhili zake zadumu milele.
Shirikisha
Zaburi 136 NEN