Zaburi 132:4-5
Zaburi 132:4-5 Biblia Habari Njema (BHN)
sitakubali kulala usingizi, wala kusinzia; mpaka nikupatie wewe Mwenyezi-Mungu mahali pa kukaa, makao yako, ewe Mwenye Nguvu wa Yakobo!”
Shirikisha
Soma Zaburi 132Zaburi 132:4-5 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Sitaacha macho yangu kuwa na usingizi, Wala kope zangu kusinzia; Hadi nitakapompatia BWANA mahali, Na Mwenye nguvu wa Yakobo maskani”.
Shirikisha
Soma Zaburi 132