Zaburi 130:3-4
Zaburi 130:3-4 Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia (SUV)
BWANA, kama Wewe ungehesabu maovu, Ee Bwana, nani angesimama? Lakini kwako kuna msamaha, Ili Wewe uogopwe.
Shirikisha
Soma Zaburi 130Zaburi 130:3-4 Biblia Habari Njema (BHN)
Kama, ee Mwenyezi-Mungu ungekumbuka maovu yetu nani, ee Bwana, angeweza kusalimika? Lakini kwako twapata msamaha, ili sisi tukuheshimu.
Shirikisha
Soma Zaburi 130Zaburi 130:3-4 Swahili Revised Union Version (SRUV)
BWANA, kama Wewe ungehesabu maovu, Ee Bwana, nani angesimama? Lakini kwako kuna msamaha, Ili Wewe uogopwe.
Shirikisha
Soma Zaburi 130