Zaburi 13:3-4
Zaburi 13:3-4 Biblia Habari Njema (BHN)
Uniangalie na kunijibu, ee Mwenyezi-Mungu, Mungu wangu. Uyaangazie macho yangu, nisipatwe na usingizi wa kifo. Usiwaache maadui zangu waseme: “Tumemweza huyu!” Watesi wangu wasije wakafurahia kuanguka kwangu.
Shirikisha
Soma Zaburi 13Zaburi 13:3-4 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Ee BWANA, Mungu wangu, uangalie, uniitikie; Uyatie nuru macho yangu, Nisije nikalala usingizi wa mauti. Adui yangu asije akasema, Nimemshinda; Watesi wangu wasifurahi ninapoondoshwa.
Shirikisha
Soma Zaburi 13