Zaburi 122:6-7
Zaburi 122:6-7 Biblia Habari Njema (BHN)
Uombeeni Yerusalemu amani: “Wote wakupendao na wafanikiwe! Ndani ya kuta zako kuwe na amani, majumbani mwako kuweko usalama!”
Shirikisha
Soma Zaburi 122Zaburi 122:6-7 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Uombeeni Yerusalemu amani; Na wafanikiwe wakupendao; Amani na ikae ndani ya kuta zako, Na kufanikiwa ndani ya majumba yako.
Shirikisha
Soma Zaburi 122