Zaburi 121:4-5
Zaburi 121:4-5 Biblia Habari Njema (BHN)
Kweli mlinzi wa Israeli hasinzii wala halali. Mwenyezi-Mungu ni mlinzi wako; yuko upande wako wa kulia kukukinga.
Shirikisha
Soma Zaburi 121Zaburi 121:4-5 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Naam, hatasinzia wala hatalala, Yeye aliye mlinzi wa Israeli. BWANA ndiye mlinzi wako; BWANA ni uvuli katika mkono wako wa kulia.
Shirikisha
Soma Zaburi 121