Zaburi 12:7-8
Zaburi 12:7-8 Biblia Habari Njema (BHN)
Utulinde, ee Mwenyezi-Mungu, utukinge daima na kizazi hiki kiovu. Waovu wanazunguka kila mahali; upotovu unatukuzwa kati ya watu.
Shirikisha
Soma Zaburi 12Zaburi 12:7-8 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Wewe, BWANA, ndiwe utakayetuhifadhi, Utatulinda na kizazi hiki milele. Wasio haki hutembea pande zote, Huku ufisadi ukitukuka kati ya wanadamu.
Shirikisha
Soma Zaburi 12