Zaburi 12:6-7
Zaburi 12:6-7 Biblia Habari Njema (BHN)
Neno la Mwenyezi-Mungu ni safi, safi kama fedha iliyosafishwa katika tanuri, naam, kama fedha iliyosafishwa mara saba. Utulinde, ee Mwenyezi-Mungu, utukinge daima na kizazi hiki kiovu.
Shirikisha
Soma Zaburi 12Zaburi 12:6-7 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Maneno ya BWANA ni maneno safi, Ni fedha iliyojaribiwa kalibuni juu ya nchi; Iliyosafishwa mara saba. Wewe, BWANA, ndiwe utakayetuhifadhi, Utatulinda na kizazi hiki milele.
Shirikisha
Soma Zaburi 12